Iliyochapishwa Dakika 51 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Kauli ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwamba ifikapo mwaka 2028 au 2029 nchi itakuwa na Katiba iliyorekebishwa au Katiba mpya, imeibua mjadala kuhusu aina ya Katiba inayotarajiwa kupatikana na namna itakavyopatikana. Akizungumza Novemba 20, 2026, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wakati akifungua mkutano mkuu